Youth Development Organization (YDO) ilishiriki katika zoezi la usafi wa fukwe za Jangwani, kwa lengo la kulinda mazingira ya bahari na kuhakikisha viumbe wa baharini wanaendelea kuishi katika mazingira salama na safi.
Zoezi hili lililenga kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira, kupunguza uchafuzi wa bahari na kulinda viumbe wa baharini.
๐ Bahari safi, mazingira salama, viumbe salama.
๐ฑ Tuilinde mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
Youth Development Organization (YDO) โ Tunakufungulia jicho uweze kuona fursa ambazo hazionekani.