Youth Development Organization
Back to News

🌍 SIKU YA VIJANA DUNIANI 2026 🌍

Youth Empowerment Published on 12 Aug 2026 By YDO Communications Team
🌍 SIKU YA VIJANA DUNIANI 2026 🌍

Leo, 12 Agosti, tunaungana na vijana duniani kote kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani.

Vijana si viongozi wa kesho pekeeβ€”sisi ni nguvu ya leo na msingi wa kesho. Tunayo nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko katika jamii kupitia elimu, ubunifu, uongozi, ujasiriamali, utunzaji wa mazingira na mshikamano.

Youth Development Organization (YDO) inaamini katika kuwawezesha vijana kutumia vipaji, maarifa na uwezo wao kujenga jamii yenye fursa, usawa na maendeleo endelevu.

πŸ’‘ Tunaamini katika Vijana.
🀝 Tunawekeza kwa Vijana.
🌱 Tunajenga Kesho Pamoja.

Happy International Youth Day 2026!
Youth Development Organization – Empowering Youth, Transforming Communities.

Related Stories